Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha
Wa marakani tuu ina ntosha

Juzi nime soma memoir ya daddy Bush asee kawa laum kina chaney na rumsfeld kuwa wali muharibua utawala baby Bush
Umeona sasa, nilikuambia Bush Jr aka Bush the second hakuwa mbabe ila washauri wake na watu waliomzunguka ndio walikuwa wababe sana mwishowe wakampoteza.

Hata yeye Bush Sr amemuharibu sana mwanae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom