Itachukua mda kidogo kujenga Dodoma,
Hasa ukiangalia Dar imejengwa sana na watanzania, serikali ,wawekezaji na hata mkoloni aliiacha hivyo.
Sasa mpaka Dodoma Iwe kama Dar nguvu ya serikali pekee haitawezekana hasa ukiangalia Uchumi haujakaa vizuri sana. Bado tupo kwenye Transition.