Makapuku Forum

Mi ilikuwa too much nikablock mtu mara moja tu kwa mara ya kwanza maana alikuwa too annoying. Mi nataka nione mtu last seen yake ni saa ngap ili nijue kama atakuwa bize ama la ndio maana na mimi yangu naiacha.
Ukiblock anakuja na ka# kengine........anazingua km kawa na profile lako analicheki kwa raha zake
Njia rahisi na ya kumuumiza mtu Ni KUMKAUSHIA/IGNORE hata ajaze povu kisado kizima simjibu na WhatsApp inaonyesha tick mbili.......Sipendi tu kuonesha last seen coz sinaga chat za kibwege na shobo na watu hata ndugu zaidi ya kishikwambi changu tu
.........
 
SINA MBAVU NA HIKI KISA

BALAA LA MITOTO ISIYOPENDA SHULE! Baada ya mwiz kuingia nyumba moja usiku kimya kimya na kuiba vitu vngi wakati anajiandaa kuondoka ghafla akadakwa mguu na dogo
DOGO: Usipoiba na begi langu la shule NAPIGA KELELE....
 
Za asubuhi?

_Nzur sijui huko?_

Huku kwema tuu.

Vp si ulimaliza chuo ww?

_Ndiyo kwani vp?_

Mbona hatuoni matunda yake?

_Kwani mi nilienda na miche ya mipapai au miembe au umeambiwa UDSM, DUCE na MUCE wanakodisha Mashamba ya nyanya ????????_

Hamna so hvyo umeenda mbali kaka

_Kama kilomita ngapi?_

Haya yaishe bhana...

_Ukome kwa kiherehere_

Nitukane tuu unakumbuka kuna siku nilikupa buku ya nauli?

_Nitajie namba yako ya tgo pesa nkuwekee hyo buku_

Kwani mi nimesema unilipe?

_Utajua mwenyewe ila nakutumia kwenye namba uliyonitext wee si umefanya ujinga mi nafanya upumbavu_


_Simple like dat Viherehere huwa tunawajibu hivyo!!_.....

.....................
 
Uso wa mbuzi
 
FIX ZA BITOZ:
Tuliaminishwaga kwamba Mlima Kitonga ndo hatari zaidi hapa Bongoland kuizidi Sekenke n.k
Lakini baada ya misele yangu kule Milima ya Usambara for almost 3 yrs nikagundua Kitonga cha mtoto tu .......

Milima ya Lushoto ni balaa kubwa huwezi overtake,kuna bonge la ukungu,kona kibao kuanzia Mombo saa nzima .........magari makubwa hayapishani yaani Shambalai likikutana Manning Nice juu Mlimani busara inatumika ya kuweka gari pembeni
Kitonga ajali nyingi 7bu magari mengi yanapita pale na malori ya kutosha yanayoenda nje ya nchi wkt Lushoto ni pembezoni ya nchi na hivyo mahari ni machache ni nadra kuliona lori la kontena
Lushoto noma ...usiombe kipindi cha ukungu dereva anasukuma gari km mkokoteni....

*******"""""""""*************
 
Kutoka Mombo mpaka Soni kuna jumla ya kona 42.

Ukikutana na dereva mzoefu, ni mwendo wa dk 40 mpk 45.

Sehemu mbaya zaidi ni kuanzia Vuga road mpaka pale kwenye barrier ya polisi kama Unashuka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…