Makapuku Forum

Kumbuka mume mwema hutoka kwa bwana.
Hivyo bwana ameshajibu maombi yako tayari.
Hivyo haina budi kukubali coz nmeshakuwa mteule tayari.
Mtoto wa mjini afu unakojoa hadharani hivyo!!?...mhhhh![emoji23] [emoji23] , ngoja nikamuelezee kaka angu kwanza akikubali tutayajenga[emoji56][emoji56][emoji56][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hizi ni swagger tu.

Hivi unakumbuka yale mabus ya city boy yaliyopata ajali Manyoni Singida mwezi uliopita hapo?

Sasa yale mabus ni yangu na Kampuni ya CITY BOY kwa ujumla ni yangu.

Sasa wewe chezea bahati uone utakavyoijutia
 
Hii hongera...utakuwa tajiri sana wewe [emoji16] tayari umeleta mengine? [emoji33]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…