Leo katika Historia:
1984 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Robert Huth.
Ni beki wa zamani wa Chelsea, Stoke city na Leicester City.
Alikuwa ni sehemu muhimu katika timu ya Leicester City iliyobeba ubingwa wa EPL msimu uliopita ambapo alitengeneza kombinesheni ya hatari na Captain wa Leicester, Wes Morgan.