Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Nimiona shemeji![]()
![]()
Umionaeeh!!!
Wewe Iringa barid mwez wa sita na wa sabaTatizo huyo jamaa amekua kama mpinzani
Cc Szczesny
Hata hivyo hujawahi kukubali kituSja sema hvo lakin binamu
Not every too long is boringPolen kama zlikuwa ndefu bas zlichosha
Hahaa too long is boring
HahahaIlikuwa lazima waseme hivyo
Jeshi la mtu mmoja,wewe ndiye mshindi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Alaf baby JJ unaskiiza sana watuu
Transaction imeshakamilika??
Bro ni mke wa mtu huyo kuwa makiniHivi kale kaugonjwa kanawapataga watoto wa kike shule za bweni huenda ni mpaka kwa wanaume? Mana mhh.. Kuna mtu amemisika hapa balaa![]()
Sio kila report ya daktari ipo fair
Samtaimu zinafichaga ukweli(wanatumika)
Anyway sina ushahidi
................
Hasa kwenye maswala ya msingi kama haya![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Alaf baby JJ unaskiiza sana watuu
Asante sana. Ilikuwa ya ukweli sana hata hivyo

Sasa hiyo afadhali ya wenyeji unadhani itakua sawa kwa mtu anayekuja hapa sa ivi kutoka sehem kusipo na barid?Wewe Iringa barid mwez wa sita na wa saba
Nimewauliza kina anko wana sema now afadhali
Sa sisi hatujazoea baridi hivyo hilo ambalo kwao ni afadhali kwetu bado ni tatizoWewe Iringa barid mwez wa sita na wa saba
Nimewauliza kina anko wana sema now afadhali
Kashinda nini?Jeshi la mtu mmoja,wewe ndiye mshindi
Asa jaman ntakubal akat si kwel!!Hata hivyo hujawahi kukubali kitu
Wasingesema tofauti, unakumbuka kauli ya Filikujombe kuwa hilo jimbo huwa linaongozwa mara moja tu,akasema kwake itakuwa hata awamu tatu, kilifuata nini baadayeHahaha
Mkuu umianza kubishana na madaktari!!!
Kila mtu anamjua humu hata nisipomtaja, kama huamini muulize ankali shululuMtaje![]()
![]()
![]()
![]()

Jeshi la mtu mmoja,wewe ndiye mshindi
kweli mkwe