Kwahiyo ile ya kuchemsha Chai ulikuwepo?Number 6, Air India Flight 182 – 329,walifarikiView attachment 383388 23 June, 1985, ndge hii ililipuliwa na bom na kundi la
Sikh militant liitwalo Babbar Khalsa,
Kwa kiwa skuepo kwenye hyo ndge mi sjui kiliwatokea nn ila we ujue ni bomu ndo liliwaua hawa raiaa
Tuna vichwa tofauti sana duniani hiiHuu sasa uzembe... Kwani chai si angesubiri kupewa jamani mpaka achemshe mwenyewe??
Mh ndege nazo ni tatizo linapokuja suala la Ajali kama hizoNumber 7, Saudia Flight 163 – 30, walifariki View attachment 383376 19 August 1980, ndio ndege hii ilipopata janga hilo
Inasemekana kuwa wakati ndege iko angani kuna mmoja wa mahujaji wa kutoka pakistan alikuwa akichemsha chai kwenye butan stove na ndiposa moto uka kama kuanzia kwenye sehem ya kuhifadhi mizigo na wakati marubani walipo hisi kuna kitu kina waka hapo wali omba wafanya kushuka kwa emergemce uwanja wa ndege wa Riyadh, na kweli walikubaliwa
Lakini ndege ilipo shuka haikusimama pale ambapo zima moto walihisi ita simama hivo na kufanya wachelwe kuifikia takriban dakika 5,na kitu, baada ya kushuka ndege hiyo , watu wa zima moto hawaku isogelea kwani injini ilikuwa haija zimwa na ilichukua kama dakika 10,na zaid kuzima, wakati ilpo kwisha zimwa tuu, injinia mmoja alienda karibu na mlango kuufungua kwani marubani hawakuwa wamefungua, ndege hiyo ililipuka hapo hapo
Sasa wakati wa uchunguzi wa maiti iligundulika kuwa ni watu waili tuu ambao ni mainjinia walikifa kwa mlipuko ika wengine wote walikufa dakika 23,kabla, hivo ina aminika kuwa abiria hao walifariki kwa moshi mda ambao watu wa fire walikuwa wakiifuata ndege na wakisubiri injini ifike, na kwa kuwa abiria wote mabaki yao yalikutwa kwenye nusu ya mbele ya ndege walithibitisha kuwa moshi ndio uliwaua na si moto
Hawa walikufa kifo cha mateso zaid nadhan kuliko ajali nyngne
Sasa Walilipua ndege kwanini jamani, mbona wanaua watu wasio na hatiaNumber 6, Air India Flight 182 – 329,walifarikiView attachment 383388 23 June, 1985, ndge hii ililipuliwa na bom na kundi la
Sikh militant liitwalo Babbar Khalsa,
Kwa kiwa skuepo kwenye hyo ndge mi sjui kiliwatokea nn ila we ujue ni bomu ndo liliwaua hawa raiaa
Wewe kweli maskiniKwahiyo ile ya kuchemsha Chai ulikuwepo?
Mkongo huyoWewe kweli maskini
Unaweza chai tu
...........
Hawapewagi somo kabla kwani?!...mbona hivyo lakini uzembe huo wa wazi wazi.Huu sasa uzembe... Kwani chai si angesubiri kupewa jamani mpaka achemshe mwenyewe??
Duh! Kuna watu walilipa nauli ya fuso nini!!! Mbona walikaa kwenye mizigo?Number 5, Ermenonville air disaster–346,walifarikiView attachment 383392mnamo tarehe 3 March 1974, kijana mmoja alianza kazi huko uwanja wa ndege wa uturuki na alianza kazi kama mfanya kazi wa kupakia mizigo kwenye ndege na ndege yake ya kwanza kuanza kaz ilikuwa ni Turkish Airlines Flight 981, iliyo kuwa inaelekea uingereza, lakin kwa kuwa hakujua vzuri either kituruki au ki inglish hakusoma maelekezo vzuri jinsi ya kufunga mlango kwenye bonet ya kubebea mizigo
Wakati ndege ina toka uturuki, ilipitia paris, na kuwachukua watu 50 zaid na wakati ndege ikikaribia kufika huko u heathrow uwanja wa ndege wa London, buti ya mizigo, kutokana na loki kuwa ilikaa vibaya ilifunguka ,ndege ikiwa zaid ya mita 23000 angani, kwanza watu 6 walikuwa kwenye mizigo walitupwa mpaka chini , na miili yao ilikutwa kilo mita kama 20 kutoka ilipo angukia ndege, na kwakuwa ndege ilianza kuingiza hewa na kusababisha milipuko, marubani walishindwa ku i control na hivo kuanguka huko emoniville, japo wanasema tangu hapo ilibidi warahisishe ufungaji wa buti ya mizigo na waweke lugha nyingi kadri wawezavyo za maelekezo
Hii ni kali piaNumber 5, Ermenonville air disaster–346,walifarikiView attachment 383392mnamo tarehe 3 March 1974, kijana mmoja alianza kazi huko uwanja wa ndege wa uturuki na alianza kazi kama mfanya kazi wa kupakia mizigo kwenye ndege na ndege yake ya kwanza kuanza kaz ilikuwa ni Turkish Airlines Flight 981, iliyo kuwa inaelekea uingereza, lakin kwa kuwa hakujua vzuri either kituruki au ki inglish hakusoma maelekezo vzuri jinsi ya kufunga mlango kwenye bonet ya kubebea mizigo
Wakati ndege ina toka uturuki, ilipitia paris, na kuwachukua watu 50 zaid na wakati ndege ikikaribia kufika huko u heathrow uwanja wa ndege wa London, buti ya mizigo, kutokana na loki kuwa ilikaa vibaya ilifunguka ,ndege ikiwa zaid ya mita 23000 angani, kwanza watu 6 walikuwa kwenye mizigo walitupwa mpaka chini , na miili yao ilikutwa kilo mita kama 20 kutoka ilipo angukia ndege, na kwakuwa ndege ilianza kuingiza hewa na kusababisha milipuko, marubani walishindwa ku i control na hivo kuanguka huko emoniville, japo wanasema tangu hapo ilibidi warahisishe ufungaji wa buti ya mizigo na waweke lugha nyingi kadri wawezavyo za maelekezo
KweiUroho tu
Na alisema usipofahamu kiingereza anarudisha pesa yako..yulr jamaa bhaanaNumber 4, Charkhi Dadri mid-air collision–349,walifarikiView attachment 383396 uliwahi ona wewe ndege zna gongana!!? Yaan anga loote hilo ndege zigongane!!! Hehehehe hii ndo ilitokea, hii naye ilikuwa ni kutokana na kutoelewa lugha ya ki inglish
tarehe 12 november 1996 ndege mbili moja ya Saudi Arabian Airlines Flight 763 na Kazakhstan Airlines Flight 1907, ni kwamba wakati ndege moja ilikuwa ina toka india kwenda Jeddah,ingine ilikuwa inatoka kutoka india kwenda Kazhakstan, sasa wakati hii ya india kwenda saudi ilipo ruhusiwa iondoke , hii ya kazhakstan Pilot wake aliambiwa ajiandae lakini kwa kuwa alikuwa hajui ki ingereza vzuri naye alipaa huko huko angani
Kwa kuwa waongozaji walishindwa ku zo control, ndege hzo zligongana hiyo ya saudi ilivunjika nusu kwa nusu, na kuanguka, na ya pili hiyonyan kazhakstan ili katika bawa moja na kuungua japo ilifanikiwa kutua ililipuka na kuwaka hapo hapo, wakati uokozi una fikia ndege ya saudi walikutwa abiria wa 4 wakiwa wazima na wamefunga mikanda yao lakin walipo fikushwa hospital walifariki kwa kuwa waliumia ndani kwa ndani
Ndo tuna waambia mtafute hata ras simba tuu akufundshe ki inglish mwee!
Muongo muongo sanaNa alisema usipofahamu kiingereza anarudisha pesa yako..yulr jamaa bhaana
Na ndio usafiri salama zaidi na wa kuaminika dunianiMh ndege nazo ni tatizo linapokuja suala la Ajali kama hizo