Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Yanga wamenivua nguo kabisa...ni aibu yani penati
Yanga wamenivua nguo kabisa...ni aibu yani penati
Sitaki kuamini kama ndo yamekuwa hayo dakika za mwisho mwisho kiasi hicho...huyo Chikoro ataringa sanaHahahahaa uwiiii
We are not talking about History!!!....We are talking about current newz bwahahahahahaaaaaMara ya mwisho simba kuchukua ubingwa wowote ule ilikuwa lini?
Acha longolongo basi... Nenda kwanza ukatumeWe ungefuatilia vzuri pale ungejua tuu babby JJ , us panick bhana
HahahahaYanga wamenivua nguo kabisa...ni aibu yani penati
Huu uchochezi hauvumilikiBitoz na mashabiki wa Yanga muda huu
![]()
Weka picha ukiwa uchYanga wamenivua nguo kabisa...ni aibu yani penati
I like that

Mh kuna baba zangu humu pengine...aku!Weka picha ukiwa uch
Hahahah Leo hii mnajifanya mnaongelea current news baada Young Africans kufungwa. Ninyi ndio mnaongoza kuleta history mara simba hivi mara vileWe are not talking about History!!!....We are talking about current newz bwahahahahahaaaaa
Nenda klabuni utapata majibu murua kabisaaaMara ya mwisho simba kuchukua ubingwa wowote ule ilikuwa lini?
Anajua sanaaaaTom cruise jamani...![]()
Take my breath away - Berlin
hahahahahHuu uchochezi hauvumiliki
Hii comment ni ya mwendo kasi walahiWeka picha ukiwa uch
Mwenzako anamachungu...heeHii kupost video Ndo inakuaje aisee