Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huyu mkaka angebaki angalau tu
1471410135720.jpg
na hii rangi sidhani kama yangemkuta yaliyomkuta... R.I.P
 
Huyu mkaka angebaki angalau tu View attachment 382956na hii rangi sidhani kama yangemkuta yaliyomkuta... R.I.P
Kila mtu ana Uhuru wa kujiamulia mambo ilimradi asivunje sheria.....Maishani unaweza kukwepa balaa kubwa lkn ukafa au kusumbuliwa na balaa dogo
Ishi unavyojisikia sio kufurahisha watu
Live ur life
Y.O.L.O
............. ..
 
Number 5, Makalu – mita 8,485 View attachment 382821huu uko huko Nepal na kwa miaka mingi hakuwahi mtu hata mmoja kujaribu kupanda, na mwaka 1954 ndio kwa mara ya kwanza kuna watu walijarbu kuupanda lakin waka shndwa, sas mwaka 1955 mimi tukiwa Lionel Terray na Jean Couzy wa ufaransa msafara uliongozwa na Jean Franco. Sasa kama unavo ona mlima umekaa kama una kipiramidi hvi upande mmoja hiko wakaz wa huko hukiabudu kama alama mojawapo ya kiimani kwao
Kwakweli Hiking ni changamoto yahitaji moyo wa chuma...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom