FIX ZA BITOZ:
Tukiwa mdogo tuliaminishwa kwa kupigiwa fix eti yule mfalme wa POP duniani aliwahi kuja Bongoland na kuishia kuziba pua airport na kugeuza......
Kumbe zilikuwa fix tu za mababu zetu uchwara!
Ukweli ni kwamba Hayati Michael Jackson The Wacko Jackal hakuishia airport wala nini.....alifanya ziara kamili na kutimba hadi jengo tukufu pale Magogoni na kupiga stori na Mzee Ali Hassan Msingi
Nimegundua zile zilikuwa ni fix za town......wabongo wana degree za fix dunia nzima tunaongoza
View attachment 382779
**********************************