Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Leo katika Historia:
1976 - Bolo Zenden anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Barcelona, Chelsea, Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi.
.........
Leo katika Historia:
1976 - Bolo Zenden anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Barcelona, Chelsea, Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi.
Kwasasa familia yake ndio inamiliki Man Utd.
Tumuulize Mjapan wa Arsenal?
Kwa kina pascal lisubaLeo katika Historia:
1960 - Congo Brazzaville yajipatia Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
Asante sanaKwa majonzi ya msiba wa Aboud Jumbe, tukutane kesho.
Huko Kuna vita ya vyama vingi
Hapo sawaKwasasa familia yake ndio inamiliki Man Utd.
Leo katika Historia:
1988 - Oussama Assaidi anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Morocco.
RIP JUMBEKwa majonzi ya msiba wa Aboud Jumbe, tukutane kesho.
Cc mussolin
Happy Birthday shemeji yetu wa zamani (sisi wapenzi wa music ni shemeji yetu kwa Jlo)
Jlo katika ubora wake
Leo katika Historia:
1945 - Siku ya Uhuru wa Korea Kusini.
Walipata Uhuru wao toka kwa Japan.
Kwa majonzi ya msiba wa Aboud Jumbe, tukutane kesho.
Haina kwereKwasasa familia yake ndio inamiliki Man Utd.
Tumuulize Mjapan wa Arsenal?
La Bukoba mwanza.La wapi hilo?