Wala bendera ya Taifa, Kala chumvi nyingi sana huyu mzeeView attachment 381883
Kanifurahisha hataki mizinga wala bendera........mtu krshakufa vitasaidia nini?
Mu ngu kamjalia 96 yrs si haba
R.I.P
..........
Wanafiki wamekosa pa kuuzia sura na kupigia siasaWala bendera ya Taifa, Kala chumvi nyingi sana huyu mzee
Ahsante JJ ngoja sasa nitambe na mimi.View attachment 381880View attachment 381881View attachment 381882
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa vijana wa Monrinho nami ndio nimefikia mwisho ya kabisa kwenye magazeti ya leo
Nawatakia week njema yenye mafanikio tele
Jina langu ni Jimena Jimenes..... Nawapenda wote
MorningMorning family
R I P kamanda
Mi niko sawa kabisa, habari za wapi?? Huchelewi kusema uko SimiyuMorning JJ
Kawakomesha hadi rahaWanafiki wamekosa pa kuuzia sura na kupigia siasa
![]()
![]()
![]()
............
KaribuAhsante JJ ngoja sasa nitambe na mimi.
Shemeji jana ulikuwa unabeep tuMorning
Hii nayo kaliLeo katika Historia:
1974 - Alfredo Stroessner anaanza utawala wake wa Mkono wa Chuma ( Udikteta ) huko Paraguay.

Kwa Kina mbili kimoLeo katika Historia:
1960 - Congo Brazzaville yajipatia Uhuru wake toka kwa Ufaransa.