briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Timu yake ni ile ya kule kwa kina kanda bongo man![]()



ok, na ankali shululu tim yake ipi?Timu yake ni ile ya kule kwa kina kanda bongo man![]()



ok, na ankali shululu tim yake ipi?Moja kati ya sifa za mwanamke ni MapishiYupo njema
Kama vile timu Brizok, na ankali shululu tim yake ipi?
Mhh i doubt!!Kama vile timu Briz
Kweli nakwambia, nilichunguza sana na kuna siku nikapost kimtego, wote wawili wakanasa ndio nikajua yupi ni yupiMhh i doubt!!
Hahaha mi mwenyewe nshafanya kauchunguzi kangu nimegundua wote wapo upande wa pili, mi nasimama solo.. One man armyKweli nakwambia, nilichunguza sana na kuna siku nikapost kimtego, wote wawili wakanasa ndio nikajua yupi ni yupi
Hapana, ankali yeye majukumu ndio humlazimu akubaliane na upande uleHahaha mi mwenyewe nshafanya kauchunguzi kangu nimegundua wote wapo upande wa pili, mi nasimama solo.. One man army
Hii spirit ya one man Army nayo niHahaha mi mwenyewe nshafanya kauchunguzi kangu nimegundua wote wapo upande wa pili, mi nasimama solo.. One man army

Wapi mkuu Cobblepots kitambo sana sijamsikia wala kumuona japo huko mitaaniMhh i doubt!!
Sijui kajificha wap huyu jamaaWapi mkuu Cobblepots kitambo sana sijamsikia wala kumuona japo huko mitaani
Hii spirit ya one man Army nayo ni![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Kitambo sanaaaSijui kajificha wap huyu jamaa
na mimi nipo atiKitambo sanaaa
Naona wametuachia uwanja tutambering.... Tuko wenyewe tu
Ulikuwa kimya nikajua wote mmelalana mimi nipo ati
Tangu lini fisi akawa mlimzi
Hii kitu ni hatari