Makapuku Forum

Hayo sio ya kupanda, labda mooooo awakodishie mashabiki wa mnyama akiwa anakipiga
 
Ila yote 9, kali yao ni Ngorika ya kwanza, wenyewe wanaiita Kibiriti.

Inapigwa mpini, vioo vinalia utasema mko kiwanda cha nondo.

Ukifika homu lazma utafute panado.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115]
We umeua kabisa [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Nimecheka sanaaa
 
Pole sanaa
Maana hiyo safari ilikuwa ngumu mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…