Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Jana pia niliweka saa tano asubuhiAaah
Ngoja nrudi alaf ni comment
Hvi leo umiwahsha hiyo
Jana pia niliweka saa tano asubuhiAaah
Ngoja nrudi alaf ni comment
Hvi leo umiwahsha hiyo
Miss you more my dear binamuMpenzi binamu i miss u mnooo
I hope uko poa
HaaaaJana pia niliweka saa tano asubuhi
Leo naendelea vzuri nlichukua vdonge flan hveeeMiss you more my dear binamu
Niko poa, hofu kwako?
Habari zenu Kapukuz wenzangu, punde ntawaletea Old is ever Gold. Asanteni na nawapenda wote![]()
Billy uwa namjua kutoka kwa stori za wakubwa hukooBilly ocean (Leslie Sebastian Charles) ni m Trinidad mu English anayeimba nyimbo miondoko ya R&B kimataifa, alitamba sana miaka ya 80. Alikuwa akiimba na pia mtunzi wa nyimbo katikati ya miaka ya 80. Alizaliwa Januari 21, 1950 (Ana miaka 66) huko Trinidad and Tobago. Aliingia kwenye Uk top 20, Ikiwemo na namba 3 kali za marekani. Mwaka 1985 alipata tuzo ya grammy kwa kuwa mwanamuziki bora wa kiume wa miondoko ya R&B na mwaka 1987 alichaguliwa kupewa tuzo ya Brit kwa kuwa mwanamuziki bora wa kiume Uingereza, pia alipata tuzo nyingine nyingi kutokana na umahiri wake katika kutunga nyimbo zake mwenyewe. Ni mshiriki wa imani za ki Rastafari. Alitamba sana na kibao chake maarufu kinachoitwa CARRIBEAN QUEEN ( NO MORE LOVE ON THE RUN) Wimbo huu aliuandika mwenyewe na ulishika namba 1 katika Billboard hot 100 na Black singles chart huko marekani, na namba 6 katika UK single chart mwaka 1984. Wimbo huo ulimpatia tuzo ya akiwa ni mwanamuziki pekee wa Uingereza kupata tuzo hiyo.
Hehehe alivo zeeka alikuwa ako strange kwel
DadaTumishinda salama mwanafamilia karibu...![]()
Kaka yanguDada
Mimi pia nawafuatilia sana wala sikuwepo huko...Billy uwa namjua kutoka kwa stori za wakubwa hukoo
Sema ntamfuatilia
Aya bas na mie ntakuwa nafuatiliaMimi pia nawafuatilia sana wala sikuwepo huko...
Uko poa dadanguKaka yangu
Niko poa...naona unakuja kwa kudokoa dokoa tu kakaUko poa dadangu