Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Asanteeeeeee
Poa poa zitafika tu japo sijui ni mufindi, mafinga, makete, mjini ama wapHahahaha
Wasalimie nyumbani waambie nakumbuka om
Wape hi huko maeneo ya mlandege, kihesa, Chipogolo na soko kuu/stendNilishajipanga mkuu, napajua huku
Naona ila mziki haukupi uchizi tu, pia ni dawa na inaponyaMi ni chizi mziki kabisa, yani iwe old skull au hizi sa sasa zote zinanipa uchizi maana kila mziki una raha yake
Bonge moja la shutiiiiLeta zawadi
![]()
![]()
![]()
...........
Mi nipo huku tagamenda mlimani ila huwa naenda kulala pale juu mjiniWape hi huko maeneo ya mlandege, kihesa, Chipogolo na soko kuu/stend
Nakubaliana na wewe, hasa kama tatizo ni la kiakili, fikra zikikuzidia basi kwenye Music ndio tiba ilipoNaona ila mziki haukupi uchizi tu, pia ni dawa na inaponya
Haha nilipita tu hukoKumbe Briz anakaa Ujiji![]()
![]()
Hivi Auric Air bado inafanya safari za Iringa nije kusalimia wakweMi nipo huku tagamenda mlimani ila huwa naenda kulala pale juu mjini

HahahaWape hi huko maeneo ya mlandege, kihesa, Chipogolo na soko kuu/stend
Basi my binamu alisababisha nifikirie unaishi hukoHaha nilipita tu huko
AaaahKumbe Briz anakaa Ujiji![]()
![]()
Ha ha ha ha hapo sawa....Aaaah
Yeye wa matombo
Yah hata mi nlimaanisha hivyo.. Ni dawa kifikra, mziki unapunguza depression kiaina japo hai-apply kwa kila mtuNakubaliana na wewe, hasa kama tatizo ni la kiakili, fikra zikikuzidia basi kwenye Music ndio tiba ilipo
Ili iapply inategemea wewe mwenyewe uko huru kiasi ganiYah hata mi nlimaanisha hivyo.. Ni dawa kifikra, mziki unapunguza depression kiaina japo hai-apply kwa kila mtu
Sina uhakika ngoja tumuulize Szczesny, kwani ulikua bado hujapelekwa huko?Hivi Auric Air bado inafanya safari za Iringa nije kusalimia wakwe![]()
![]()