Makapuku Forum

Mimi member wa siku nyingi ila naweza kujiita kapuku. Majukwa ambayo najitahidi sana kutojihusisha nayo moja ni jukwaa la siasa maana kula unakutana na wapumbavu wa karne ambao wanajitita wao ndo wabobezi. Ukiwajibu mtaishia kutukana. Na spend muda mwingi kwenye jukwaa la biashara sababu najua kule kuna mawazo chanya unapata. Kulikobakia kumejaa wajinga tuu ...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…