Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Njema kabisa sijui weweDadangu habari
Njema kabisa sijui weweDadangu habari
Suddenly life has new meaning to me....daah Jimenna na wewe ni Mkali aisee
Ni njema sana dada, leo nitakupigia niongee nawe jambo, itakuwa sawa?Njema kabisa sijui wewe
Kupiga simu?? Au u mean PM??Ni njema sana dada, leo nitakupigia niongee nawe jambo, itakuwa sawa?
Aaah nimekosea ni pm kwani cna namba yakoKupiga simu?? Au u mean PM??

LolAaah nimekosea ni pm kwani cna namba yako![]()
PoleBaadae kidogo fellaz, naona huku net iko slow speed ya kobe
Kama simbaSuddenly life has new meaning to me....daah Jimenna na wewe ni Mkali aisee
Hivi mkweo yu wapi leo??Pole
Hajaonekana kabisa leo, baadaye ataonekana tu kwenye mechi ya manHivi mkweo yu wapi leo??
Ni kweli muda huo hawezi kukosekanaHajaonekana kabisa leo, baadaye ataonekana tu kwenye mechi ya man
Wazee wa zamani wanajua sanaNi nomaaaaa
![]()
![]()
![]()
.........
Hahahaha ngoja nidance sasa hivi tusipoteze muda....Dah natamani nkuone ukidance, zaman kulikua na mafundi wa mziki ati... Mziki wa sa ivi ni dizaini ya 'chewing gum' unaskiza ngoma baada ya mda mfupi unatamani mpya
