Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
HahahahShetani huwa hapendi wapendanao acha iwe hivyo hapa
Hatare
HahahahShetani huwa hapendi wapendanao acha iwe hivyo hapa
Usiku mwema wakuuHahahah
Hatare
Nawe piaUsiku mwema wakuu
Username yako pamoja na avatar yako vinajieleza kabisa, ndo mana ikapelekea mm kukuuliza swali hiliNajua unataka kunipa tenda?
Shwari Radika...wengine usingizi umegoma katikati ya giza nene...Habari za hapa wakuu
Tumbo, binamu anasumbuliwa nalo toka juzi[emoji85]Dawa ya nini vile
Leo katika Historia:
1935 - Rais Franklin Roosevelt wa Marekani anasaini rasmi sheria ya kuwalipa mafao " Pensheni " wastaafu wa nchi hiyo.