Asante sana bitoz, kusema ukweli sijaangalia mpira leo, ila KF imenifanya kama vile nimeangalia mpira, thnx bitozView attachment 381145
Kazi yangu imeishia hapa tukutane kesho
Bournemouth v Manyau
ArsayNO v Riverfool
................................
Poa ndo kipindi changu.....sio mzee wa kulipuaaaaaaaAsante sana bitoz, kusema ukweli sijaangalia mpira leo, ila KF imenifanya kama vile nimeangalia mpira, thnx bitoz
Usikose kuniletea walau wawiliNaenda mabibo Beach kuvua kambale
Wamepata msaada wa goli la kujifunga.Cha penalty by KUNI Aguero
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Usikonde kabisa kwa hiloUsikose kuniletea walau wawili
SafiiiView attachment 381145
Kazi yangu imeishia hapa tukutane kesho
Bournemouth v Manyau
ArsayNO v Riverfool
................................
Miss you BepariWamepata msaada wa goli la kujifunga.
Tatizo mechi nyingi Leo. ...Safiii
Afadhal sasa
Miss u more Mrembo JJ, how was your day?Miss you Bepari
Habari yako my sweet cousinSafiii
Afadhal sasa
Acha wivuWamepata msaada wa goli la kujifunga.
Ni goli au sio goli, kujifunga ni dalili ya kuzidiwaWamepata msaada wa goli la kujifunga.
Haya na mimi naomba nileteeNaenda mabibo Beach kuvua kambale
Tulikumiss pia Kapuku! [emoji8]Habari zenu Makapuku, niliwamiss sana leo
Nzuri nlikumiss mpenzi binamuHabari yako my sweet cousin
Perfect....... Only kuwamissMiss u more Mrembo JJ, how was your day?
Wamebahatisha tu.Ni goli au sio goli, kujifunga ni dalili ya kuzidiwa
Unawapenda eheee,wanakujaHaya na mimi naomba niletee