Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Jeshi uchwara.View attachment 381260View attachment 381262View attachment 381263Kina Takuma sawa na Mgambo
.......
Jeshi uchwara.View attachment 381260View attachment 381262View attachment 381263Kina Takuma sawa na Mgambo
.......
Leo katika Historia:
1959 - Ligi ya " American Football " yaanzishwa rasmi huko Marekani.
Kuna coincedence hapo.Sasa huyu Enzo atakuwa ndio Ozil basi kwenye mwili mpya....
Vimbaumbau kama sisi tukae chonjo.
Leo katika Historia:
1971 - Ni siku ya Uhuru wa Bahrain.
Bendera zao mbaya
Asante sana sasa nami acha nipate kuwaletea magazeti ya leo kama ifuatavyoSina la ziada, Jumapili njema kwenu, Kwa udhamini mnono wa Ferrari tukutane tena Kesho.
Leo katika Historia:
1994 - Ilich Ramirez Sanchez maarufu kama Carlos the Jackal anakamatwa.
Alikuwa ni mhalifu aliytafutwa sana na Serikali ya Ufaransa.
Leo katika Historia:
2013 - Misri yatangaza hali ya hatari na Jeshi la nchi hiyo kuua mamia ya waandamanaji waliokuwa wanampinga Rais Mohammed Morsi.
Leo katika Historia:
2015 - Ubalozi wa Marekani nchini Cuba wafunguliwa tena mara baada ya kufungwa kwa miaka 50 iliyopita kutokana na uhusiano mbaya wa Marekani na Cuba.