HahahaKwa nini huwa huamini
Duh.. Mie ndio maana sijataka haya mambo, ila na mie ningeamua nahisi ningekuwa greatest, ila sasa kuisamehe papuchi, inahtaji moyo wa chuma hasa dunia ya sasa
Yote kwa yote, huyu jamaa ni mwisho wa reli, amenifanya niipende physics kwa kiwango kikubwa mnoo. Kazi zake zilikuwa babkubwa.
Kumbe Mchawi Jr anapiga fix tuMi nimeifatilia sana kwa hiyo naijua kiasi chake na mengi tu yanayosemwa mitaani sio kweli
Muhammad Abdallah Mutalib muarabu wa Kabila la kureishNumber 2, Abū al-Qāsim Muḥammad ibn ʿAbd Allāh
c. A.D. 570–632 View attachment 380475
Google searches: 13.6 million+ kwa mwezi
Number of books: havihesabiki (ni vingi mnoo)
Mtume Muhammad Sallallahu alaihi wa sallam anajulikana hatuna haja ya kupigiana kelele
Wasio waislam wao husema yeye aliamzisha dini hii, lakini kwa waislam , Uislam ulikuwepo na Mungu ndo aliye anzisha isipo kuwa mtume yeye ali u regulate na kuwarudsha wale walo kuwa wameptea katika ujinga wamrudie M/Mungu
Inadhaniwa kuwa Uislam ndio imani inayo kua kwa kasi zaid karne ya 21 na kwa dini hii mtume Muhammad ndiye the final prophet
Ukistaajabu ya Musa...utayaona ya Ngedere ,Kichumvi na FaizerFix
..........
Aaah
Aiseee yani umepost picha ya Bitoz live
Thanks mkuuAsante sana kwa top ten bora kabisa
YeaAisee huyu jamaa anajua sanaaaaa
Watu wa zamani walikuwa na imani kali sana, inaweza kuwa ni kweliHahaha
Stori imekaa ki uongo uongo hiyo
Et mungu ana mwambia mtu achinje mtt wake
Khaaa!!
Lkn kwa hapa JF haniweziAaah
Uyu mkuu ni sheeda
HahahaNimewahi kusoma....napenda vitabu sio vya kiShigongo
......m
Huwa nahisi alikuwa handsome sanaNumber 1, Jesus of Nazareth
c. 5 B.C.–c. A.D. 28 View attachment 380477 Google searches: 24.9 milion kwa mwezi
Number of books: haihesabiki(ni vingi mno)
Vitabu vya Enjil vyotee vina eleza maisha yake, vina taja kuwa alizakiwa kwa Bikira Mariam na alikifa akiwa na miaka 33 takriban mwaka 33 A.D (+ or - 5)
Dunia ina watu zaid ya bilion 7 ina kadiriwa watu wanao amini kuwa Yesu ni mtoto wa Mungu ni asilimia 33.22, ambao ni zaid ya bilion 2.3.
Huyu ni mmoja ya wahanga wakubwa wa kifo cha crixification na inadhaniwa kuwa baada ya siku kadhaa alifufuka
Wayahudi na waislam ambao wako takriban bilioni 1. 6 wanamtambua vizuri pia kama mtume wa Mwenyez Mungu
Yesu ana julikana na asilima 98 ya dunia nzima kasoro makabila yanayo kadiriwa kufika 100 ambayo nayo haya mjui mtu mwingne yeyote katika historia isipo kuwa wao tuu waishio hapo
HahahahaMi pia huwa siamini ila sasa bora wewe
Mi siamini karibia zote
Luv ya more cuzzoAhsanten wakuu
Mlikuwa na mie Field Marshall
nawakubali sana woote
Binamu JJ thanks sana luv ya
HahahahMasihara hay ww
Hiyo binam yaniacha hoiAhsanten wakuu
Mlikuwa na mie Field Marshall
nawakubali sana woote
Binamu JJ thanks sana luv ya