Mnabisha?
FIX ZA BITOZ;
Usiyoyanua kuhusu Bitoz Nyangema
1/Kazaliwa Acha Khan hospital
2/Anaishi Mabibo Beach kwenye Nyumba ya ghorofa
3/Ana kishikwambi cha kizungu na watoto mapacha(Ziro & Kiberiti)
4/Ni ELFUONEA mkubwa wa biashara ya kambale
5/Anamiliki BOXER 10
Ukibisha wewe ni uchwara
...........
Ameshafika asante kakaNimemuona humu hataki kujitokeza
Niko poa Shululu...mzima lakin? Quigley punguza presha you are my only boo baby...Mkuu naona unanisakama.
Mwenye mimba umemwambia utamwoa na mimba yake...huku tena!!!!
Yelewiiii, hebu kula hiii
Mimi je Kipenzi changu? hadi naumwa kwakweli
Alikuwepo hapa hapaJimena my sweetiepie yuko wapi?
Alikua ananiambia mimi kuwa amekuona humu mpenziSweetie yupi huyo...
Hebu tuingie chumbani wasije kutuvuruga kama dadangu jimena na mzee wa 10, naona kuna uchochezi hadi wamebadili gia anganiAsante kwa kiss babes..
Ni jirani namsalimia tu,unajua unapopita kwa jirani yako ni vizuri kumsabahiMkuu naona unanisakama.
Mwenye mimba umemwambia utamwoa na mimba yake...huku tena!!!!
Hahaha Poa natangulia room utanikuta...Hebu tuingie chumbani wasije kutuvuruga kama dadangu jimena na mzee wa 10, naona kuna uchochezi hadi wamebadili gia angani