FIX ZA BITOZ;
Usiyoyanua kuhusu Bitoz Nyangema
1/Kazaliwa Acha Khan hospital
2/Anaishi Mabibo Beach kwenye Nyumba ya ghorofa
3/Ana kishikwambi cha kizungu na watoto mapacha(Ziro & Kiberiti)
4/Ni ELFUONEA mkubwa wa biashara ya kambale
5/Anamiliki BOXER 10
Ukibisha wewe ni uchwara
...........