briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Poa poaNi utani tu
Poa poaNi utani tu
Scania labda kuanzia R470 kwenda mbele chini ya hapo hapana ila hiyo Mercedes Benz Actross naikubali sanaWapewe kwa kweli, hutaki scania za sweeden!![]()
SANI sijuiBob mikwara. unamkumbuka huyo mtu sijui kwenye jarida la bongo?
Matangazo yake ni yale yaleJioni Pombe matamko tu
........
Mi Kuna ambae sitamsahau ni lodi lofaBob mikwara. unamkumbuka huyo mtu sijui kwenye jarida la bongo?
Km nyani kujadili miti ya kurukaeuka tu huku makalio yapo openMatangazo yake ni yale yale
Hivi umejulia wapi magaro makubwa binti ka wewe jaman jimena!Scania labda kuanzia R470 kwenda mbele chini ya hapo hapana ila hiyo Mercedes Benz Actross naikubali sana
Wajerumani pia wako vizuri
Ulijuaje? Yani mule muleKm nyani kujadili miti ya kurukaeuka tu huku makalio yapo open
![]()
![]()
![]()
........
sasa ndio huyu Jioni Kilevi wa ChatleSANI sijui
Alikuwa na mikwara zaidi ya mbuzi
![]()
![]()
![]()
.........
hahahaha...ana majibu makali sana.Mi Kuna ambae sitamsahau ni lodi lofa
Hahahahahaha kanifundisha mzee wa 10 kubwaHivi umejulia wapi magaro makubwa binti ka wewe jaman jimena!
Sanaaaahahahaha...ana majibu makali sana.
Aaah wapi, ujanja wake ni ku google tu, ukimpeleka kwenye uzoefu ni zeroHahahahahaha kanifundisha mzee wa 10 kubwa
diuuh