FIX ZA BITOZ:
1/vikapuku uchwara= Kapuku ambao wanazurura JF Kila siku lkn hawaibuki KF au wanabipu tu
2/Mbepela=Mtu mpenda Shari
3/Kifensi= mtu anayeinfilia mambo yasiyomyhusu mfn kila mazungumzo ya watu naye yumo
4/Tepya= mambo mteremko
5/kipyanyunyu= Kijitu chenye wivu
Haya nasikia vipyanyunyu vimejisgtukia....now KF tepya
..........