Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Wanaishi kijamaa nasikiaSystem yao kama ya Tanzania, ni ngumu sana
Wanaishi kijamaa nasikiaSystem yao kama ya Tanzania, ni ngumu sana
Hivi uchawi ipo kweli???Hahahaha
Halaf amini usimini sisi ndo bara ambalo
Wachawi sana
Na wanadini sanaa
Sasa sjuagi tuna umwa nn!!?
Kama Asano Takei
Hiyo hutaipataLazima nikinukishe hyo kesho..
Hapo unakuta nmeshatupia na post ya 80k.. nitatambaje..!
Hiyo sikujuaKumbuka kule kufanya kazi hakuna mshahala, serikali inakupa nguo na chakula shule unasoma Bure
Wajinga ndio waliwaoWanaleta misaada wanajimilikisha rasilimali.
gari ipo juu ya mawe.Mambo tepyaaaaaa CC vingongo forum imekufa
![]()
![]()
![]()
.........
ganda la ndizi.Senkenke, cha arusha
Dhiki haizoelekiTumezoea sana dhiki
1971Maana alikufa akiwa 27
Na alizaliwa 1973
Nenda Bagamoyo ujioneeHivi uchawi ipo kweli???
Masharti mengi mpaka raha ya dunia mtu haioniNafikiri hata mitandao ya kijamii imepigwa vita.
gari ipo juu ya mawe.
Bora umwambie ukweli.Hiyo hutaipata
Zege halilali
Sawa mbepela nimekusomaFIX ZA BITOZ:
1/vikapuku uchwara= Kapuku ambao wanazurura JF Kila siku lkn hawaibuki KF au wanabipu tu
2/Mbepela=Mtu mpenda Shari
3/Kifensi= mtu anayeinfilia mambo yasiyomyhusu mfn kila mazungumzo ya watu naye yumo
4/Tepya= mambo mteremko
5/kipyanyunyu= Kijitu chenye wivu
Haya nasikia vipyanyunyu vimejisgtukia....now KF tepya
![]()
![]()
![]()
..........
Wapi!!?Hivi uchawi upo kweli??
Hapo sawaHapana sina maana hiyo.
City boy anatambaring