Kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwenyewe.Kuna muda walikuchanganya sana
Unakoseaje sasa kwa mfano???Aisee! Ni kama umeshushwa vile, kumbe sijakosea njia![]()
![]()
Hapana aisee maji ya ray tu hayatoshi, pengine unaogea maziwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
maji ya ray yanasaidia

Saa hizi anajuta kimyakimya.Hawakumuangusha kabisa
Dada naona una balance gender ktk Uzi huuAsantee jonax
Tukutane kwenye ligi sasa.Kwa niaba ya Wenger nasema asante
UmetishaaaaKuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwenyewe.
pia kumbuka Ngoma ya mtoto haikeshi.
G G M USaa hizi anajuta kimyakimya.
Huyu Eric Baily ananikumbusha kipindi cha kepteni Nemanja
Ngoja uje EmiratesKuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwenyewe.
pia kumbuka Ngoma ya mtoto haikeshi.
Masihara hayoUbinhwa wa akina Takuma msimu huu

Ibra kadabra...the beast!!
Bila shaka kabisaTukutane kwenye ligi sasa.
Wahispaniola...
DDG...the best GK in EPL
Ndio kakaDada naona una balance gender ktk Uzi huu