Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Miss u mingi mingi zaidi
karibuPamoja mkuu..karibu
Nlimiss hii babyface yako kwa muda bora umeibuka leoMiss u mingi mingi zaidi
LolKm yule boys fulani
![]()
![]()
![]()
...........
Hahaaa asante, nimekujaNlimiss hii babyface yako kwa muda bora umeibuka leo
Asante sanaaAisee! Muumbaji hapa alifanya kaz yakr jumapili akiwa ametulia kabisa, uko vizuri sana

Asantee jonaxkaribu
Hongera kwenu washika bundukiGame over, arsenal 3 Man city 2
Kwa niaba ya Wenger nasema asanteHongera kwenu washika bunduki
Ulikuwa Leicester city naamini hawajakuangushaGame over, arsenal 3 Man city 2
Mtoto na rangi hadimu ya mtume, wasukuma wanatoa hadi ng'ombe 800 hapo wallahHahaaa asante, nimekuja