briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Kwani haupo hapo bunda kesho nikupick tukale mchemsho?Nna hamu na Sato sana
Kwani haupo hapo bunda kesho nikupick tukale mchemsho?Nna hamu na Sato sana
Niko pouwa kakaake... Mjomba wa kijacho..Miss u mingi mingi, hujambo dadake?
Mtoto gani??
or 
Koh koh!!!Nani aliruhusu? Tuanzie hapo kwanza
Hawa siwaelewi ujueShtuka![]()
![]()
![]()
Kwahiyo we ndo hodari wa kujitolea?Mwenzetu anauguliwa nikaona ni
Kheri kama ningejitolea
Ila yana zungumzika haya my lady
Mnanitamanishaaa.., eti bebi QUIGLEY , tutasogea lini hapo kando ya ziwa na sisi tufaidi neema za Allah huko ziwani?Kwani haupo hapo bunda kesho nikupick tukale mchemsho?
Weka pichaUsitamani mke wa jirani yako.
Jamani mke wangu mzuri balaaa@patience123

Wakifanya safari yao na si tutakua tunafanya yetu
UwiiiiiiYote ni sawa, we unampa kampani sweetiepie
Mi nampa kampani briz huku nikifurahisha macho yangu
Wa kike, tutampa jina la JimenaMtoto gani??
or
![]()
Itabidi uelewe tu,maana hamna namna nyingine sasaHawa siwaelewi ujue
Anza weweWeka picha![]()
Nimeridhia, akiwa ke Jimena / Ximena na akiwa me Jimenes / XimenesMtoto wetu na patience123 tumepanga kumwita JIMENA, wewe wasemaje?
AaahItabidi uelewe tu,maana hamna namna nyingine sasa

Akiwa mwanaume muiteni bristol ama briz katakua na akili sanaNiko pouwa kakaake... Mjomba wa kijacho..

Maana hamna namna sasaWakifanya safari yao na si tutakua tunafanya yetu
Watajificha vichani, matunda yake yataonekana hospitaliUwiiiiii
Haya wakuuu
Mkafanye mnacho taka
Inaonekana mna penda kweli
Hospitali na mbuga za wanyama wap na wapi!!!
Je akiwa keAkiwa mwanaume muiteni bristol ama briz katakua na akili sana![]()
![]()