shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Kipofu kaona mwezi
Kipofu kaona mwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha ha ha ha ha, siku zote najua ni ke.., hiyo avatar ya vibinti inanichanganya
Hongera mkuuNa Hao ni watoto wangu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Wallahi najua ni ke... Ningejua ni me ningemtokea pm teh teh
Asante baba mchungajiHongera mkuu
OhooooooWallahi najua ni ke... Ningejua ni me ningemtokea pm teh teh
Tumeona juaKipofu kaona mwezi
Sipo hapo .....Kwani haupo hapo bunda kesho nikupick tukale mchemsho?
Kweli bebi... Ndo maana kila siku nakuona mpyaKwangu ke asipodeka akae mbali atakuwa jike dume
Mbona hivyo sweet[emoji15] [emoji15]Wallahi najua ni ke... Ningejua ni me ningemtokea pm teh teh
Wakina nani tena wanaokuchanganya?Hawa siwaelewi ujue
Mpole sana huyo bebi wangu, atajua namsalimia tuOhoooooo
Cc QUIGLEY
Namsalimia tu honey.... Ni kaka yangu katika Bwana.Mbona hivyo sweet[emoji15] [emoji15]
Zote ni outUwiiiiii
Haya wakuuu
Mkafanye mnacho taka
Inaonekana mna penda kweli
Hospitali na mbuga za wanyama wap na wapi!!!
SawaWa kike, tutampa jina la Jimena
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mupambeSafi sana
Usikonde wangu Szczesny baharia wangu.. very understanding hawezi kumind utani mdogo ka huu [emoji4] [emoji4]Sipo hapo .....
Halafu uongee pole pole mwana wa Carenza asije akasikia
We nae umooo ila tu huvumiItabidi uelewe tu,maana hamna namna nyingine sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yote ni sawa, we unampa kampani sweetiepie
Mi nampa kampani briz huku nikifurahisha macho yangu
Atakuwa yuko vema, ukinivuruga itabidi anioe mimi niwe wa nne..Shululu ni dume mwenye wake 3