shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Naijua vizuri sana ShyMkuj una uzoefu na Shy town?
Naijua vizuri sana ShyMkuj una uzoefu na Shy town?
Ndio jeItakuwa nyumbani kwao malaria
We mti gani ana safir kote huko hvi hivi!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Cc briz

Usikose kuniletea paja la dogSa ivi niko shinyanga ntaenda na musoma afu kurudi itabidi nipitie dodoma mana ntakua naenda iringa so itakua ngumu kupitia huko
Na mimi nasema ukweli ww sio KEKusema ukweli sio dharau
Angalia usije ukawa kingongo
uko vizuriNaijua vizuri sana Shy
Na bado uzi uko katika ubora wake650k views.....tunaelekea kwenye 1 m....watanuna lkn KF THE BEST THREAD EVER....thread zenye million views ni zile longtime tu
..................
Inawezekana asiwe dereva mkuu, hata kwangu sometimz hulazimika kupiga route zaidi ya mikoa 7 kwa shughuli za kawaida tuWe mti gani ana safir kote huko hvi hivi!!!
Lazam uyo yuko na![]()
Kati ya yebo yebo au peku maana ndio alikuwa anatoka kuvua kambale![]()
![]()
![]()
![]()
Alivaaa yeboyebo?
Inawezekana asiwe dereva mkuu, hata kwangu sometimz hulazimika kupiga route zaidi ya mikoa 7 kwa shughuli za kawaida tu

HahahKati ya yebo yebo au peku maana ndio alikuwa anatoka kuvua kambale
uwiiiiiiiii, umenivunja mbavuuuuHahaa mkuu mbona kawaida tu majukumu yangu yanagusa karibu mikoa yoteMkuu una undugu na John Walker?? Siokwa kupiga ruti hizo?
Uongoooo lol!Na mimi nasema ukweli ww sio KE
![]()
![]()
![]()
...........
Figisu zilianza kwa Ungabu zen FaizerFix halafu Mandelakiherehere kisha GENTA halafu rubee zen Mchawi kisha vikapuku uchwara lkn chama linasonga tuNa bado uzi uko katika ubora wake
Vasco da gamaaa????![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Umenikumbusha
Yule baba alisafiri jaman mweer!!!
Asisahau kufika kizumbi
Haha mi kaz yangu inaishia pale musoma mjini na bunda tuMpaka maeneo ya Ngokolo na Ndala.