Makapuku Forum

FIX ZA BITOZ IX:
.Ebhana eeeh ngoja niwape fix kuhusu yule best mwenye mikosi aitwae Ziro Matamaa niliyewahi kumuelezea kwenye FIX ZA TOWN (zisearch)......
Basi babake baada ya akina Ziro kuvunjiwa kibanda chao cha kujidai mule mabondeni huku masela tukimchapia vishikwambi vyake na biashara yake ya pool table kufulia(hairuhusiwi asubuhi) Ziro akawa people with kiherehere kila ishu yupo mstari wa mbele!!!!
Juzi sasa kikaja Kishkwambi kinataka kupanga huku Uswaz si ndo Ziro akaleta kiherehere akampokea mzigo,kupanga sebuleni n.k.........Kesho akambebea na maji kabisa bombani, masela tunausoma mchezo tu
Si akaja Side Mnyamwezi kunitembelea gheto kitaa anajiona bhana Kishkwambi kile hakulaza damu akakiimbisha fasta akafanya mambo!!!!!
Now Side anakula tu tokoto kitaa coz mtoto ana mkwanja huku Ziro aking'aa tu sharubu km paka pori... kaponzwa na udomo zege

Nux za Ziro zitaisha lini?

...............
 
Daaaah
Sasa kwan naye ziro hata dalili alikuwa hazioneshi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…