Nimeiboresha comment mimi km Mimi kwenda na wakati au kuongeza mvuto au mengineyoTatizo umeandika posts nyingi sana nina wasi wasi kama unarejea zote za uliyoyaandika,
Mwanzoni uzi huu ulikuwa na intro ya maneno yaliyoko kwenye link hiyo hapo chini ambayo alikunukuu Retired Mp (Bonyeza click expand kuyasoma yote)
Makapuku Forum
--------------------------------------------
Baada ya kusoma utangulizi/intro huo niliwashauri mfungue uzi mwingine kwenye jukwaa la malalamiko. Pia nilitaadharisha wazoefu wa JF kuwa wabadili uandishi wao ili kuepusha kuanzishwa Makapuku forums inayolenga kuwavuta 'wanaodharauliwa' hapa jukwaani angalia link hii hapa chini.
Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...
========================================================
Nadhani umepata majibu.
Hongera kwa kwenda na wakati (Th Name na Bitoz).Nimeiboresha comment mimi km Mimi kwenda na wakati au kuongeza mvuto au mengineyo
Acha kupotosha sijashauriwa na mtu na ht hiyo comment yako sijawahi ukiona
__mtu yoyote anaedit post kwa malengo Fulani....kwabiyo ht kesho nikijisikia naedit km kuna kitu nataka kuweka
NB:
SIJASHURUTISHWA NA MTU WALA KUFUATA USHAURI WAKO
.................................
Hilo ndo la maana.........mazingira yanabadilika mfano now kapuku tyr ni watu maarufu hivyo nisingeendelea kusema "asiye maarufu"Hongera kwa kwenda na wakati.
Hakuna kama manuu kwakoAnajua hata nyama ya ulimi huyo!
Ha haa naona unamtetea sanaHakuna kama manuu kwako
Sababu ninamuelewa vilivyoHa haa naona unamtetea sana
NUKUU NO 1#
Siku moja mimi na masista wenzangu tulimwokota masikini mmoja mitaani akiwa hoi kwa njaa na ugonjwa.
Tukamchukua hadi kituoni kwetu na kumlaza kitandani. Akanitazama kwa tabasamu na kusema "Asante sana" na kisha akafariki Dunia.
Niliyatafakali maneno yake hayo ya mwisho huku nikijiuliza, ni wangapi ambao wangetamka maneno yale Dakika zao za mwisho hapa duniani huku wakiwa na tabasamu usoni?
Haya yalisemwa February 4,1994 mjini Washington, Marekani na mwanzilishi wa shirika la kimataifa la Misaada ya hisani _missionaries of charity la India, Mother Teresa.
Alizaliwa Agosti 26,1910 huko Yugoslavia na kufariki Dunia September 5,1997 huko Calcutta India.
Wakati wa uhai wake Mother Teresa alitunukiwa tuzo kadhaa za heshima kwa kuthamini kazi aliyokuwa akiifanya ya kuwasaidia masikini.
Moja ya tuzo hizo ni ile ya amani ya Nobel
Mmh lenu moja nyieSababu ninamuelewa vilivyo
NUKUU NO 2#
Tanzania ni ya watanzania wote. Hakuna mtu mwenye haki ya kusema 'mimi ndiye watu; wala hakuna mtanzania mwenye haki ya kusema ya kusema 'najua linalowafaa watanzania na wengine wote ni lazima wafuate '.
Mambo ya Tanzania lazima yaamuliwe na watanzania wote.
Maneno haya ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, yamo kwenye kitabu chake kinachoitwa Binadamu na Maendeleo. Wakati uhai wake Mwalimu Nyerere, tofauti na watawala wa sasa, aliandika vitabu kadhaa venye mawazo maridhawa ya namna taifa letu linavyopaswa. Alifariki Dunia Oct 14,1999
Kabisa kabisa aisee
Umejuaje?Mmh lenu moja nyie
Mnaonyesha agenda yenu mojaUmejuaje?