Makapuku Forum

Aah niliingia jukwaa flani...nikawa naguswa tu na mada flani flani...full kushushuliwa na dem flan hivi...ooh we vipi umekuja kwa kasi wakati umejisajili juzi tu...nikabaki nashangaa tu kwamba kumbe JF kuna watu special ndio wana deserve kuongea au kuchangia...nikajikuta mood yote imekufa...sema naona humu kwa makapuku pa kijanja no Shoboz peleka kwenu!!
. One love Guys
 

Hapa stress FREE ZONE.
Kuna ishu kibao
Subiri wenyewe waje ujionee
...........
 
Hapa stress zote tunawaachia makonda wa daladala.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…