Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
Leo katika Historia:
1958 - Chati ya muziki ya " Billboard hot 100 " yaanza rasmi huko Marekani.
Sanaaa mpaka nikajishangaa mi mwenyeweMorning, Jana umewahi kulala mapema sana
Hot kapuku songs?
Leo katika Historia:
1977 - Rais Richard Nixon wa Marekani anasaini uanzishwaji wa Wizara ya Nishati nchini humo.
Happy Birthday ObamaLeo katika Historia:
1961 - Rais Barrack Obama anazaliwa.
Ni Rais wa 44 wa Marekani.
Pamoja sana mkuuSina la ziada, asanteni kwa kuwa pamoja nami, tukutane keshi kwa udhamini mnono wa Miaka 12 ya Rooney pale Old Trafford.
Karibu JJ utuletee Magazeti.
Mama wa duniaLeo katika Historia:
1900 - Mama yake na Malkia Elizabeth wa Uingereza anazaliwa.
Alijulikana kama " Queen Elizabeth The Queen Mother "
Alifariki Dunia mwaka 2002.
Naona picha ya chini akipigiwa saluti za kifashisti.
hahaha
Leo katika Historia:
1984 - Nchi ya Upper Volta yabadili jina lake na kuanza kutambulika kama Burkina Faso.
Kama Ungabure
Asante sana mkuu mussolinSina la ziada, asanteni kwa kuwa pamoja nami, tukutane keshi kwa udhamini mnono wa Miaka 12 ya Rooney pale Old Trafford.
Karibu JJ utuletee Magazeti.
Rais wa Dunia anaelekea Uzeeni sasa.Happy Birthday Obama
Hao ndio kuzaliwa kwao mpaka kufa hawaijui shidaMama wa dunia
Apumzike kwa amani
Asante sana Mussolin5 magazeti ya yanawajia kwa hisani ya Mugabe.... Rais mzee kuliko wote dunianiSina la ziada, asanteni kwa kuwa pamoja nami, tukutane keshi kwa udhamini mnono wa Miaka 12 ya Rooney pale Old Trafford.
Karibu JJ utuletee Magazeti.
aka Burkinabe.
Pamoja mkuuAsante sana mkuu mussolin