shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 4, 2016 #76,306 Jimena said: Morning all... Click to expand... Morning, Jana umewahi kulala mapema sana
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Aug 4, 2016 #76,309 Leo katika Historia: 1924 - Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Mexico na Urusi yaanzishwa.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Aug 4, 2016 #76,310 Leo katika Historia 1936 - Waziri Mkuu wa Ugiriki, Ioannis Metaxas anavunja Bunge na Kuvunja Katiba pia kwa kutoitambua, na kuanza utawala wa Kidikteta ktk Nchi hiyo.
Leo katika Historia 1936 - Waziri Mkuu wa Ugiriki, Ioannis Metaxas anavunja Bunge na Kuvunja Katiba pia kwa kutoitambua, na kuanza utawala wa Kidikteta ktk Nchi hiyo.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Aug 4, 2016 #76,311 Leo katika Historia: 1947 - Mahakama Kuu ya Japan yaanzishwa rasmi.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Aug 4, 2016 #76,312 Leo katika Historia: 1958 - Chati ya muziki ya " Billboard hot 100 " yaanza rasmi huko Marekani.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 4, 2016 #76,313 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1924 - Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Mexico na Urusi yaanzishwa. Click to expand... Umoja ni nguvu ...............
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1924 - Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Mexico na Urusi yaanzishwa. Click to expand... Umoja ni nguvu ...............
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Aug 4, 2016 #76,314 Leo katika Historia: 1977 - Rais Richard Nixon wa Marekani anasaini uanzishwaji wa Wizara ya Nishati nchini humo.
Leo katika Historia: 1977 - Rais Richard Nixon wa Marekani anasaini uanzishwaji wa Wizara ya Nishati nchini humo.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Aug 4, 2016 #76,315 Leo katika Historia: 1984 - Nchi ya Upper Volta yabadili jina lake na kuanza kutambulika kama Burkina Faso.
Leo katika Historia: 1984 - Nchi ya Upper Volta yabadili jina lake na kuanza kutambulika kama Burkina Faso.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 4, 2016 #76,316 Mussolin5 said: Leo katika Historia 1936 - Waziri Mkuu wa Ugiriki, Ioannis Metaxas anavunja Bunge na Kuvunja Katiba pia kwa kutoitambua, na kuanza utawala wa Kidikteta ktk Nchi hiyo. Click to expand... Dikteta uchwara ............
Mussolin5 said: Leo katika Historia 1936 - Waziri Mkuu wa Ugiriki, Ioannis Metaxas anavunja Bunge na Kuvunja Katiba pia kwa kutoitambua, na kuanza utawala wa Kidikteta ktk Nchi hiyo. Click to expand... Dikteta uchwara ............
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Aug 4, 2016 #76,317 Leo katika Historia: 1821 - Louis Vuitton anazaliwa. Ni mbunifu wa mavazi toka nchini Ufaransa.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 4, 2016 #76,318 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1947 - Mahakama Kuu ya Japan yaanzishwa rasmi. Click to expand... Km hotel ya nyota 5 ..........
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1947 - Mahakama Kuu ya Japan yaanzishwa rasmi. Click to expand... Km hotel ya nyota 5 ..........
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Aug 4, 2016 #76,319 Leo katika Historia: 1900 - Mama yake na Malkia Elizabeth wa Uingereza anazaliwa. Alijulikana kama " Queen Elizabeth The Queen Mother " Alifariki Dunia mwaka 2002.
Leo katika Historia: 1900 - Mama yake na Malkia Elizabeth wa Uingereza anazaliwa. Alijulikana kama " Queen Elizabeth The Queen Mother " Alifariki Dunia mwaka 2002.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Aug 4, 2016 #76,320 Leo katika Historia: 1961 - Rais Barrack Obama anazaliwa. Ni Rais wa 44 wa Marekani.