Leo katika Historia:
1964 - Lucky Philip Dube anazaliwa.
Maarufu kama Lucky Dube alikuwa ni mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa rege toka nchini Afrika Kusini.
Aliuwawa kwa kupigwa risasi mwaka 2007.
Ni mwanamuziki pekee wa Regge ambaye hakuwa anatumia kilevi cha aina yoyote ile.
Imekula chumvi.
Bora usafiri wangu huu wa Baiskeli kuliko hizo Ndege.
Leo katika Historia:
1975 - Wael Gomaa anazaliwa.
Ni beki wa kati wa zamani wa Al Ahly na Timu ya Taifa ya Misri.
Ambalo linataka liondolewe ili waweke ya Domo.View attachment 375156View attachment 375157View attachment 375158
Tunatambia sanamu la askari
........
Kuna majemedari wamepita Afrika. Ila wengi wao walikuwa ni vibaraka toka nchi za magharibi.
Wachagga's favorite.
Leo katika Historia:
1981 - Fikirte Addis anazaliwa.
Ni mwanamitindo na mbunifu wa mavazi toka nchini Ethiopia.
Leo katika Historia:
2015 - Margot Loyola anafariki.
Ni mwanamuziki mashuhuri katika bara la Amerika ya Kusini kutoka nchini Chile.
Anafaa kwa mboga
hahaha...hapana.View attachment 375195View attachment 375196View attachment 375197
Nilifikiri mwasisi wa Loyola High School Mabibo
.......
Leo katika Historia:
Leo ni siku ya Bendera huko Venezuela.
Hiyo nafikiri ipo hapo Tandale
Damu ya mtu ilimtoa uhai
Leo katika Historia:
Ni siku ya jeshi la Guinea ya Ikweta. ( Equatorial Guinea )
Ndege is fastest huwezi kwenda Kigoma kwa kibaiskeli utatoboka makalioBora usafiri wangu huu wa Baiskeli kuliko hizo Ndege.
Morning guysGood morning family
Intelligence,Imekaa ki idealist japo ulilenga iwe ki materialist
Its good
Ntaka niitafakar zaid
Iko jukwaa gan!!?
Bongo everything PolifixAmbalo linataka liondolewe ili waweke ya Domo.