Makapuku Forum

....taste ndio inatupoteza!!!....kuna post moja iko jukwaa la picha mtu kapost picha ya ugali wa mtama na nyama ya kuku chukuchuku niliisoma nilicheka sana!!!
Na kweli mbona siye tumekulia huko Iringa chipsi haikiwa sehem ya maisha yetu
Mfano sja wahi kumuona dingi ana kula chipsi (labda kama alikuwa ana jificha)
Na maisha yalikuwaga poa tuu
 
Kiukweli mimi si mpenz wa chipsi, hata chembe ila naona watu wanakuza mambo, sidhani chipsi kama ni chakula kibaya kama mtu ana mazoez yake, hata ugali pia si mzur kama unakula na kulala tu...

Kikubwa ninachoamni.. Hichi kitu kinachoitwa chipsi yai ndio tatzo hasa, hasa hasa hii miyai ya kuku wa kizungu hawa.. Hapa mtu akiniambia namuelewa zaid.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…