Makapuku Forum

Leo katika Historia:

2006 - Martin Mbawala anafariki Dunia.

Alikuwa ni classmate wangu, vidonda vya tumbo vilimuondoa Duniani.

Leo tunaadhimisha miaka 10 toka ututoke, daima tutakukumbuka, pumzika kwa amani Kaka.
Ooh jamani poleni sana kwa kiondokewa na classmate
Muendelee kumuenzi kwa kufanya yale alivyokuwa akiyapenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…