briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 2, 2016 #75,461 Morning le family!
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 2, 2016 #75,462 Tutizame jinsi tunavyoweza kugeuza mlengo wa kushoto kuwa wa kulia
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 2, 2016 #75,463 QUIGLEY said: Ni siku nyingine tena tumepewa, hatuna budi kushukuru...habarini family Click to expand... Ni njema sana mkuu, umeamkaje?
QUIGLEY said: Ni siku nyingine tena tumepewa, hatuna budi kushukuru...habarini family Click to expand... Ni njema sana mkuu, umeamkaje?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 Aug 2, 2016 #75,464 briz said: Ni njema sana mkuu, umeamkaje? Click to expand... Salama mkuu, habari kwako
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 2, 2016 #75,465 QUIGLEY said: Salama mkuu, habari kwako Click to expand... Niko vizuri mkuu, ni asubuhi nyingine tulivu kulipamba taifa
QUIGLEY said: Salama mkuu, habari kwako Click to expand... Niko vizuri mkuu, ni asubuhi nyingine tulivu kulipamba taifa
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 Aug 2, 2016 #75,466 briz said: Niko vizuri mkuu, ni asubuhi nyingine tulivu kulipamba taifa Click to expand... Amen
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 2, 2016 #75,467 Leo katika Historia: 1990 - Iraq yaivamia Kuwait na kusababisha kuzuka kwa vita vya Ghuba.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 2, 2016 #75,468 Leo katika Historia: 1998 - Vita ya pili ya Congo yaanza. Pia hujulikana kama vita ya Dunia ya Afrika.
Leo katika Historia: 1998 - Vita ya pili ya Congo yaanza. Pia hujulikana kama vita ya Dunia ya Afrika.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 2, 2016 #75,469 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1990 - Iraq yaivamia Kuwait na kusababisha kuzuka kwa vita vya Ghuba. Click to expand... Matokeo? .............
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1990 - Iraq yaivamia Kuwait na kusababisha kuzuka kwa vita vya Ghuba. Click to expand... Matokeo? .............
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 2, 2016 #75,470 Leo katika Historia; 2014 - Watu 146 wanafariki baada ya kutokea kwa mlipuko huko Shanghai na wengine kujeruhiwa.
Leo katika Historia; 2014 - Watu 146 wanafariki baada ya kutokea kwa mlipuko huko Shanghai na wengine kujeruhiwa.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 2, 2016 #75,471 Leo katika Historia: 1925 - Jorge Rafael Videla anazaliwa. Alikuwa ni Jenerali na Rais wa 43 wa Argentina.
Leo katika Historia: 1925 - Jorge Rafael Videla anazaliwa. Alikuwa ni Jenerali na Rais wa 43 wa Argentina.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 2, 2016 #75,472 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1998 - Vita ya pili ya Congo yaanza. Pia hujulikana kama vita ya Dunia ya Afrika. Click to expand... Vita ni fahari ya Africa ................
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1998 - Vita ya pili ya Congo yaanza. Pia hujulikana kama vita ya Dunia ya Afrika. Click to expand... Vita ni fahari ya Africa ................
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 2, 2016 #75,473 Leo katika Historia: 1982 - Helder Postiga anazaliwa. Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Ureno.
Leo katika Historia: 1982 - Helder Postiga anazaliwa. Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Ureno.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 2, 2016 #75,474 Leo katika Historia: 1984 - Giampaolo Pazzini anazaliwa. Ni straika wa Kiitaliano anayecheza klabu ya Hellas Verona. Pia aliwahi kuchezea Inter Milan na Ac Milan.
Leo katika Historia: 1984 - Giampaolo Pazzini anazaliwa. Ni straika wa Kiitaliano anayecheza klabu ya Hellas Verona. Pia aliwahi kuchezea Inter Milan na Ac Milan.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 2, 2016 #75,475 Mussolin5 said: Leo katika Historia; 2014 - Watu 146 wanafariki baada ya kutokea kwa mlipuko huko Shanghai na wengine kujeruhiwa. Click to expand... Ugaidi? ..........
Mussolin5 said: Leo katika Historia; 2014 - Watu 146 wanafariki baada ya kutokea kwa mlipuko huko Shanghai na wengine kujeruhiwa. Click to expand... Ugaidi? ..........
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 2, 2016 #75,476 Leo katika Historia: 1989 - Nacer Chadli anazaliwa. Ni mchezaji wa mpira wa Miguu toka Ubelgiji na klabu ya Tottenham.
Leo katika Historia: 1989 - Nacer Chadli anazaliwa. Ni mchezaji wa mpira wa Miguu toka Ubelgiji na klabu ya Tottenham.
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 2, 2016 #75,477 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1998 - Vita ya pili ya Congo yaanza. Pia hujulikana kama vita ya Dunia ya Afrika. Click to expand... Kunani tena pale congo?? Cc mutu ya kongo, werrason
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1998 - Vita ya pili ya Congo yaanza. Pia hujulikana kama vita ya Dunia ya Afrika. Click to expand... Kunani tena pale congo?? Cc mutu ya kongo, werrason
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 2, 2016 #75,478 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1925 - Jorge Rafael Videla anazaliwa. Alikuwa ni Jenerali na Rais wa 43 wa Argentina. Click to expand... Dictator ? ................
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1925 - Jorge Rafael Videla anazaliwa. Alikuwa ni Jenerali na Rais wa 43 wa Argentina. Click to expand... Dictator ? ................
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Aug 2, 2016 #75,479 Leo katika Historia: 1997 - Fela Kuti anafariki Dunia. Alikuwa ni mwanamuziki mahiri toka nchini Nigeria. Alipenda sana totoz katika ubora wake.
Leo katika Historia: 1997 - Fela Kuti anafariki Dunia. Alikuwa ni mwanamuziki mahiri toka nchini Nigeria. Alipenda sana totoz katika ubora wake.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 2, 2016 #75,480 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1984 - Giampaolo Pazzini anazaliwa. Ni straika wa Kiitaliano anayecheza klabu ya Hellas Verona. Pia aliwahi kuchezea Inter Milan na Ac Milan. Click to expand... Happy Birthday Pazzini
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1984 - Giampaolo Pazzini anazaliwa. Ni straika wa Kiitaliano anayecheza klabu ya Hellas Verona. Pia aliwahi kuchezea Inter Milan na Ac Milan. Click to expand... Happy Birthday Pazzini