Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Nikvuta picha ya hapa nshapata jibu
Nikvuta picha ya hapa nshapata jibu
NimekuPMKasome uzi wake wa nyoka anasema yupo nje, unless Sumba imejitenga imekuwa nchi jirani Rais wetu.
You Only Live Once(YOLO)Safi sana na inapendeza nitaiga hiyo
Jamani kwani nimewadanganya nini??We Jimena upo nchi gani usidanganye wenzio haupo bongo.
Hatulali... TunakeshaMmh tukianza saa si tuta lala?
Mi kwetu sio SumbawangaWe bibi kakudanya lini?
Yupo kwao Sumbawanga
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.............
MmmmmmhJiulize sasa
Bitoz anakuzingua tu huyo.Kasome uzi wake wa nyoka anasema yupo nje, unless Sumba imejitenga imekuwa nchi jirani Rais wetu.
Napajua..njoo chemba kidogoMi kwetu sio Sumbawanga
Sitimbi moja ndo kunakonihusu
Tunagonga [emoji485] tuHatulali... Tunakesha
Leo ni weekend buanaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaha nimekupata la presider Bitoz anachoka saa nyingine.Bitoz anakuzingua tu huyo.
HayaHatulali... Tunakesha
Leo ni weekend buanaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sa kumbe vipi??Tunagonga [emoji485] tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji125] [emoji125]Napajua..njoo chemba kidogo
Kuna hela ya nyanya nakutumia
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
............
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji125] [emoji125]
DuuhLEO KATIKA HISTORIA...
Mwaka 1992 (miaka 24 iliyopita) System Analyst wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Ndugu Charless Kitwanga (kushoto) akiwa na Mkemia wa Chama cha Ushirika mkoani Mwanza (NCU) Ndg.John Pombe Magufuli walipokutana mkoani Mwanza. Miaka 23 baadae (mwaka 2015) Magufuli alitangazwa kuwa Rais wa Tanzania na akamteua Kitwanga kuwa Waziri wake wa mambo ya ndani kabla ya kutengua uteuzi huo kwa kile kilichoelezwa ni "kashfa ya ulevi."
Ushauri maridhawa...Kitu kizuri ....lakini buni jina lako mfano "kutoka maktaba"
LEO KTK HISTORIA ni ubunifu wa Dictator Mussolini
Ni ushauri tu
......................