Makapuku Forum

Makapuku Forum

View attachment 373276View attachment 373277
Hii ndo mechi aliyofungisha
Ilikuwa dhidi ya Bulgaria km sikosei......ndo ikawa mechi yake ya mwisho kuchezea Ufaransa
Ana bahati sana wange muESCOBAR
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.............
Ingekuwa ni Amerika Kusini, kule kwa wahuni saa hizi angekuwa ni Marehemu kama Andres Escobar
 
LEO KATIKA HISTORIA...

Mwaka 1992 (miaka 24 iliyopita) System Analyst wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Ndugu Charless Kitwanga (kushoto) akiwa na Mkemia wa Chama cha Ushirika mkoani Mwanza (NCU) Ndg.John Pombe Magufuli walipokutana mkoani Mwanza. Miaka 23 baadae (mwaka 2015) Magufuli alitangazwa kuwa Rais wa Tanzania na akamteua Kitwanga kuwa Waziri wake wa mambo ya ndani kabla ya kutengua uteuzi huo kwa kile kilichoelezwa ni "kashfa ya ulevi."
wre.jpg
 
Back
Top Bottom