Makapuku Forum

Makapuku Forum

CooShogWIAAaMFR.jpg
Wacha wee
 
We acha zako. Hiyo moja haitoshi maana nataka nauli ya kutoka sitimbi mpaka nnapoenda.
Kuna watu nimewamiss mno sasa ndo nataka nikawatafute? Mkiwaona waambieni nawatafuta jamani
Watu hao ni...........
1. Szczesny Carenza de la fuma de la Casa
2. briz Bristol Miguel Clinton
Sijawaona leo kabisa sijui mko wapi jumamosi ya leo[emoji134]
Nipo wangu, wikend yangu ipo kimajonzi... Nipo kwenye msiba toka jana kuna rafiki yangu kafiwa
 
Back
Top Bottom