Makapuku Forum

Makapuku Forum

LEO KATIKA HISTORIA...

Mwaka 1992 (miaka 24 iliyopita) System Analyst wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Ndugu Charless Kitwanga (kushoto) akiwa na Mkemia wa Chama cha Ushirika mkoani Mwanza (NCU) Ndg.John Pombe Magufuli walipokutana mkoani Mwanza. Miaka 23 baadae (mwaka 2015) Magufuli alitangazwa kuwa Rais wa Tanzania na akamteua Kitwanga kuwa Waziri wake wa mambo ya ndani kabla ya kutengua uteuzi huo kwa kile kilichoelezwa ni "kashfa ya ulevi."
Picha muruwa sana.
 
Kitu kizuri ....lakini buni jina lako mfano "kutoka maktaba"
LEO KTK HISTORIA ni ubunifu wa Dictator Mussolini
Ni ushauri tu
......................
 
Back
Top Bottom