Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
HaaaaAnapata kitu roho inataka kwani shs ngapi?
Nadhan wame msingizia
HaaaaAnapata kitu roho inataka kwani shs ngapi?
Bila tatizo kabisa..Unapata zako kitwanga kadhaa
yaani kitu mukideBila tatizo kabisa..
Duuh
Usiwe muhuni km mbuni utaanza kutumia sabuni siku za karibuniAcha Hizo. weka picha ili niamini sasa
Mzee wa vinaUsiwe muhuni km mbuni utaanza kutumia sabuni siku za karibuni
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
...............
Mbona Leo nimetoka kufulia nguoUsiwe muhuni km mbuni utaanza kutumia sabuni siku za karibuni
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
...............
Haya sawaMbona Leo nimetoka kufulia nguo
Zaidi ya Neema wa MitegoMzee wa vina
[emoji12] [emoji12]Haya sawa
..........
Kazi ya mikono ya Mungu
Kabisa, kama hivi mimi nakula machungwa hapaMakapuku lazima tupendane
Ndo style yetu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
Kabisa, kama hivi mimi nakula machungwa hapa
Mkuu hizi kumi za leo zilikua za kusisimua kidizaini nilianza kuchungulia mda ule nkaona nile kwanza nsije nikagairi huko mbele, umezipresent vizuri sana aisee.. Kama uko karibu na kwa mangi hapo agiza tu chochote nakuja kulipa sa ivi [emoji4]Kwa kweli walinchanganya kabsa kabsa hapo
Mrembo haswaKazi ya mikono ya Mungu
Umetisha sana, naona umeichimba sana hiyo dhahabu
Kazi ya mikono ya Mungu
Hapo Muumba alifanya kazi yake akiwa ametulia kabisa nahisi ilikua wikend flan hivi [emoji4] [emoji4]Mrembo haswa
Namkubali sana
.............
KabisaHapo Muumba alifanya kazi yake akiwa ametulia kabisa nahisi ilikua wikend flan hivi [emoji4] [emoji4]
Naona ndo unatusemea kwa Bae [emoji86] [emoji86] [emoji86]