Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
NdioWaaaacha!!!.....hata la mukono???[emoji4]
NdioWaaaacha!!!.....hata la mukono???[emoji4]
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35][emoji107] Aaah!!! Banaaa kwa hisani ya wakimataifa!!!
Kazi kwakoAhsante...ngoja nitambering
Ulaya katika ubora wakeLeo katika Historia:
Leo ni siku ya Usingizi nchini Finland.
Hakuna mhariri??Actress??....labda ni typing error
Sawa tuSina cha ziada tukutane tena kesho, kwa udhamini mnono wa Medeama wazee wa 3 tu.
Ila kumbuka sio kila Njano ni Yanga, nyingine ni Medeama.
Hasta la Vista!!
Morning makaveli10 habari yako?Morng ndugu zangu...
Habar yangu salama wa salmin, sijui habari yako wewe best.Morning makaveli10 habari yako?
Aisee!Leo katika Historia:
Leo ni siku ya Usingizi nchini Finland.
Salimia sana pande hizo, mwambie nduguyo koffi aache mambo ya kupiga wanawake [emoji4] [emoji4]Safi sana[emoji111] Papaa
Morng makaveeli10, mishe zinaendaje?Morng ndugu zangu...
Siku nyingine si anatingishia tu!!!Hakuna mhariri??
Morning makaveli10Morng ndugu zangu...
Cha msingi ulale hayo mengine ni juu yakoDuh.. Siku ya usingizi...
Sina bud acha nikaishi tu finland.
Ila swali la nyongeza lenye kipengele a kwa muheshimiwa mussolin.. 'Usingiz huo pekee yako au na kiburudisho, maana usingizi wa "CHUKUCHUKU"' haunog muheshimiwa kapukku