Waaaacha!!!.....hata la mukono???[emoji4]Goli ni goli tu, hata la mkono nalo goli
Bwahahahahahahaaa[emoji13]Hongera
Naona siku hizi ni mwendo wa rangi tu
MorningMorning all
Mamboz!Poa sanaaa, sijui pande hizo
Ni wap hyo? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Niadje Papaa mukulu?Nawasalimu kwa hisani ya Medeama [emoji4]
[emoji107] Aaah!!! Banaaa kwa hisani ya wakimataifa!!!Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri na shughuli za kila siku, sasa ni wasaa wa kuyapitia magazeti ha leo kama yalivyotufikia katika meza yetu asubuhi ya leo
View attachment 371654View attachment 371655View attachment 371656
Yanaletwa kwenu kwa hisani ya mzee wa milioni 7 kila dakika na makosa yake 222
KwenuNi wap hyo? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Huku kwetu tunatumia maguta bana [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
Ahsante...ngoja nitamberingView attachment 371685View attachment 371686View attachment 371687
Kufikia hapo basi sina la ziada, kumbuka magazeti haya yaliletwa kwenu kwa udhamini mkubwa kabisa wa mzee wa mil 7 kila dakika
Niite Jimena Jimenes
Nawatakia siku njema yenye mafanikio tele
[emoji120] [emoji3] [emoji3]View attachment 371685View attachment 371686View attachment 371687
Kufikia hapo basi sina la ziada, kumbuka magazeti haya yaliletwa kwenu kwa udhamini mkubwa kabisa wa mzee wa mil 7 kila dakika
Niite Jimena Jimenes
Nawatakia siku njema yenye mafanikio tele