Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,402
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AsanteNimepita kusambaza upendo ndugu..
Itakuwa walikufaHahaha
Mi sjui hao watu walivumiliaje mateso kama hayo kwa kweli
Watu zaidi ya wanyama!!![emoji87]The Judas Cradle
View attachment 371477
Kwanza ilikuwa lazima mtu awe uchi kabisa ili kumuongezea aibu halafu alifungwa kamba mikono na miguu alafu alikaliwsha kwenye hiyo pembe tatu na kamva zililegezwa zaid na zaid ili kufanya "anus" yake izidi kuzamishwa na kumuumiza na kwa kuwa walikuwa hawa paoshi watu wengi hawakufa kwa maumivu bali kwa vacteria mbali mbali walo kuwa hapo hii pia ilichukua siku kadhaa mtu kukata roho
Hata mi mgeni hapoAaaaaa
Hiy si itambui
Kweli kabisaWatu zaidi ya wanyama!!![emoji87]
[emoji3] [emoji120]Y'all have been great na mmekuwa watulivu kipindi kumi kubwa haipo
Asante sana
Asante pia kwa my one and only Jimena Jemenes kwa support
Asante kwa kuwa now kumi kubwa is back
God bless ya
We bwege Mkongo mwenzio Mapoo Koffi Olomide kafungwa[emoji3] [emoji120]
Aaaaaa
Hiy si itambui
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mi mgeni hapo
Hivi Yanga kashinda ngapi???[emoji15] [emoji3] [emoji23]We bwege Mkongo mwenzio Mapoo Koffi Olomide kafungwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
...............
....some more soap???....omo or foma???We bwege Mkongo mwenzio Mapoo Koffi Olomide kafungwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
...............
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]FIX ZA BITOZ VI:
wakati nasoma Sekondari shule fulani ya walalahoi huku Joto City tulikuwa na kautaratibu ketu cha kwenda beach kila jumamosi na vishikwambi vyetu kutokoto baada ya kufagia na kudeki class....
Sasa bhana kuna Kishkwambi kikali kilikuwa kinaitwa Mwajuma ndo kimehamia skuli kwetu na mimi km bishoo natembea na watoto wakali tu....basi nikakapania kukaimbisha hiyo jumamosi si kakakubali babake nikaongozana nako hadi beach pamoja na masela na vishikwambi vyao
Sasa tukiwa beach Bitoz sijui kuogelea halafu nina mbwembwe nikaenda kwenye kina kirefu si nikazama bahati nzuri Mwajuma akaniokoa lakini cha moto nilikiona maana nilikunywa vikombe hadi nikatoa macho kumzidi chura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilichekwa sana na masela lakini mapenzi yetu na Mwajuma yaliendelea hadi shule tukawa mastaa zen mtihani wa NECTA tukaambulia madivision 4
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitasahau kisanga cha kuponea tundu la sindano kufa beach hadi leo ukitaka utafiki wetu ufe nipeleke beach niambie tukaogelee
.....................
Mmmh hapo hata Hilter atasubiri kwakweli
Maarifa yanakuwa siku hadi siku
Yeeees[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Karibu
Ukifurahi wewe tuuNimefurahi hii mambo imerudi tena ni moja kati ya segment matata sana Makapuku Forum
Asante sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji3] [emoji120]
Pamoja sana mkuuY'all have been great na mmekuwa watulivu kipindi kumi kubwa haipo
Asante sana
Asante pia kwa my one and only Jimena Jemenes kwa support
Asante kwa kuwa now kumi kubwa is back
God bless ya
....some more soap???....omo or foma???
Bora 4 ya halali kuliko 1 ya kufoji[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kewenye 4 hapo ndo nimeelewa