Makapuku Forum

Makapuku Forum

Rope Torture
View attachment 371516
Hii ilitumika jwa namna mbali mbali kama vile

Kunyonga mtu
Kumtegua mikoni au miguu
Kumuachanisha mtu vipande vipande kwa kuamua kuwafinga farasi na kuwaamuru wakimbie

Na namna mbali mbali ila jua kamba matumiz ni mengi hata sku hizi wahehe tuna zitumia sana hizo
1469557374706.jpg
1469557381895.jpg
1469557402361.jpg
1469557455829.jpg
 
Impalement
View attachment 371461 hii ilitumiwa na Vlad the Impaler. Karne ya 15 huko Romania; watu wali kuwa wana kamatwa halafu wana ambiwa wakalie miti ilo chongwa kwa juu na hiyo huwachoma, hii huchukua mpaka siku tatu kwa muhanga kufa na bwana vlad aliwahi kuwa ua watu zaid ya 20,000 kwa siku moja huku mwenye akipga luch kama anavo onekana kwenye picha
Mh!!! ....[emoji87]
 
Heretics Fork
View attachment 371465
Kama muonavyo kwa picha hapo mtu aliwekewa hiyo kitu kama uma pande zote na hii na alifungiwa shingoni na alifungwa juu ya mti mfupi au tuu alisima mishwa sehem, ilikuwa ni njia ya mateso kwani haikutakiwa mtu asinzie na siku ambayo alichoka na kuiachia shingo lazima atoboke koo na kidevu na kufa
Ebanaeeh! Hapo unajiua mwenyewe!
 
FIX ZA BITOZ VI:
wakati nasoma Sekondari shule fulani ya walalahoi huku Joto City tulikuwa na kautaratibu ketu cha kwenda beach kila jumamosi na vishikwambi vyetu kutokoto baada ya kufagia na kudeki class....
Sasa bhana kuna Kishkwambi kikali kilikuwa kinaitwa Mwajuma ndo kimehamia skuli kwetu na mimi km bishoo natembea na watoto wakali tu....basi nikakapania kukaimbisha hiyo jumamosi si kakakubali babake nikaongozana nako hadi beach pamoja na masela na vishikwambi vyao
Sasa tukiwa beach Bitoz sijui kuogelea halafu nina mbwembwe nikaenda kwenye kina kirefu si nikazama bahati nzuri Mwajuma akaniokoa lakini cha moto nilikiona maana nilikunywa vikombe hadi nikatoa macho kumzidi chura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilichekwa sana na masela lakini mapenzi yetu na Mwajuma yaliendelea hadi shule tukawa mastaa zen mtihani wa NECTA tukaambulia madivision 4
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitasahau kisanga cha kuponea tundu la sindano kufa beach hadi leo ukitaka utafiki wetu ufe nipeleke beach niambie tukaogelee
.....................
 
```Jamaa mmoja alilala na dem kwenye kitanda cha double-deka dem akalala juu jamaa chini.
Ulipofika ucku jamaa akaanza kupanda juu mara ghafla dem akashtuka jamaa kashamaliza kupanda dem akamuuliza wewe umefata nini uku juu.
Jamaa akamjibu eti NIMEDONDOKA.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] funny [emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Thumbscrew
View attachment 371508
Hii nayo medieval period wali ilitumiwa sana kwaa jili ya kumfanya mtu a confess hii hawakulenga kuua mtu
the thumbscrew au ‘pilliwinks’ ilitumika kukata vidole na mguu wa chini lakin zilikuwepo kubwa kabsa hizo zlikuwa zina saga miguu yote au mikono yotee

Sasa ilikuwa kama husemi kitu au hu confess wana chukua mashine kubwa kabisa hiyo ina sigina au ina saga kichwa chootee
Mmmh hapo hata Hilter atasubiri kwakweli
 
Rope Torture
View attachment 371516
Hii ilitumika jwa namna mbali mbali kama vile

Kunyonga mtu
Kumtegua mikoni au miguu
Kumuachanisha mtu vipande vipande kwa kuamua kuwafinga farasi na kuwaamuru wakimbie

Na namna mbali mbali ila jua kamba matumiz ni mengi hata sku hizi wahehe tuna zitumia sana hizo
Bora sisi tumezaliwa siku hizi maana mhhh ilikuwa hatari
 
Back
Top Bottom